KUKU AINA YA KROILA

KROILA hawa ni kuku ambao asili yao kabisa ni india

Kuku hawa wameanza mnamo mwaka
1990 , na naweza kusema kwamba kuku hawa ni chotara kwa sababu ni cross kati
ya kuku wa aina mbili ambao ni
°°°ROLILER MALE na FEMALE RHODE ISLAND RED
°°°Na pia WHITE LEGHORM MALE na FEMALE RHODE ISLAND RED

Kuku hawa wamefanana kabisa na kuku wa kienyeji
TOFAUTI YA KROILA NA KUKU WA KIENYEJI WA KWAWAIDA

( 1 ) Wana uwezo mkubwa wa kutaga mayai mengi
( 2 ) wanakuwa wakubwa zaidi ya kuku wa kawaida
( 3 ) wanakuwa na uzito mkubwa zaidi ya wa kawaida
( 4 ) wanakuwa kwa kasi ya ajabu zaidi ya wakawaida
( 5 ) hawana uwezo wa kutamia mayai yao wenyewe
( 6 ) hawaambukizwi magonjwa kirahisi ( kizembe )
( 7 ) ni rahisi kuwatibu kama wataambukizwa ugonjwa

Post a Comment

Previous Post Next Post