TARATIBU ZA CHANJO (KUKU WA MAYAI)

>>WIKI YA KWANZA: CHANJO YA NEWCASTLE.
••Kwa masaa mawili tu, endelea na maji ya vitamini.

>>WIKI YA PILI: CHANJO YA GUMBORO.
•• Kwa masaa mawili tuu, endelea na maji ya vitamini.

>> WIKI YA TATU: CHANJO YA GUMBORO.
•• Kwa masaa mawili tuu, endelea na maji ya vitamini.

>>WIKI YA TANO: CHANJO YA NEWCASTLE + INFECTIOUS BRONCHITIS (NDIB)
••Kwa masaa mawili tuu, endelea na maji ya vitamini.

>>WIKI YA SABA: DAWA YA MINYOO.

>>WIKI YA NANE: FOWL POX
••Kila kuku atachanjwa sehemu katika mbawa.

KUMBUKA:
    *Rudia chanjo ya NEW CASTLE kila baada ya miezi (3) mitatu

1 Comments

Post a Comment

Previous Post Next Post